Pamoja na hayo Mkuu wa shule hiyo ya msingi litowa mwenye shati la kutenge pichani aliishukuru asasi ya Lugarawa Youth Foundation kwa jitihada zake za kuwafikia wahitaji katika mahitaji na kuwapa elimu mbalimbali, aliendelea kubainisha kwamba wanafunzi wachache walionufaika na mchango huo wapo na wenzao wengi wenye changamoto kama zao hivyo alitumia wasaa huo kuiomba tena asasi kuwafikia tena panapo nafasi na uwezo pia ili kuwapa nguvu zaidi na hata kama maeneo mengine!
🎯Sambamba na hayo Mwlimu mmoja wapo pia ambaye jina limehifadhiwa alipata nafasi ya kuishukuru asasi kwa zawadi ya wanafunzi na ofisi yao pia, na kuhitajikujua zaidi ya mambo yanayofanywa na asasi yetu ambapo mkurugenzi alipata nafasi kuyafafanua vizuri hasa suala la kilimo! Na baadae alitoa wito kwa asasi kufika zaidi kushiriki na vijana wao katika fursa mbalimbali ikiwemo michezo ambayo ni sehemu ya kazi za asasi ya Lugarawa Youth Foundation.
Commenti