Mnamo tarehe 27 Januari 2024, Mkurugenzi wa lugarawa youth foundation alihudhuria kwenye conference iliyoandaliwa na Rais wa MOFATE na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali ambao ulijadili mambo mbalimbali ikiwemo digital health innovations na Elimu ya Cervical cancer na Leprosy. Pia mkutano huo ulihudhuriwa na Mkurugenzi wa Ruvuma women business (RWIB).
top of page
bottom of page
Comments