VIONGOZI WA TAASISI WAKUTANA
- lugarawayouth Foundation
- Dec 20, 2023
- 1 min read
VIONGOZI WA TAASISI YA LUGARAWA YOUTH FOUNDATION WAKIWA KWENYE KIKAO CHA MWISHO WA MWAKA TAREHE 17/12/2023 KUJADILI NA KUTATHIMINI UTENDAJI WA TAASISI KWA MWAKA 2023 NA KUWEKA MALENGO MAPYA YA MWAKA 2024. KIKAO KIMEFANYIKA KATIKA OFISI NDOGO ILIYOKO MKOA WA RUVUMA KATA YA PERAMIHO, HAO NI BAADHI YA VIONGOZI WA TAASISI

Comments